FPCT Professionals

FPCT kwa kuzingatia umuhimu wa wanataaluma katika kanisa, imeamua kuanzisha kitengo chao maalumu ili kiwe kinatumia taaluma zao kusaidia kanisa katika nyanja mbalimbali, ikiwemo ushauri, maoni, mipango na namna ya kutatua changamoto katika kanisa.

8 comments for “FPCT Professionals

 1. Victor
  October 16, 2016 at 10:10 am

  Napenda kupata ufafanuzi kuhusu, kwa nini serikali ya tanzania haiyatambui makanisa ya kipentecoste,

 2. October 22, 2016 at 7:52 am

  Mungu anatupenda

 3. Herman Kagoma
  November 7, 2016 at 10:11 am

  Naishi na Kuabudu Gongo la Mboto Dar es Salaam, Nimehitimu Bsc. Engineering (Chemical and Process) na pia LLB. Vile vile Pgd. in Scientific Computing.

 4. John Tuu
  November 14, 2016 at 2:00 pm

  Wazo zuri sana linapaswa kutendewa kazi isije ikawa ni wazo kwenye karatasi tu.
  Jina la kitendo linapaswa kuwa clear stated, mission, na objectives zake.

 5. John Tuu
  November 14, 2016 at 2:04 pm

  Topic ya Church History kianapaswa kuitwa “Organization History” Church History ina maana nyingine kabisa.

  • fpct
   November 14, 2016 at 3:17 pm

   Thank you, your comment is highly considered.
   Regards,
   Admin.

 6. November 21, 2016 at 1:03 pm

  Naomba kipengele cha FPCT Professionals kielezewe kwa undani, namna gani kinafanya kazi, nani anatambuliwa kama Professional ktk Kanisa, na namna gani ya kutambulika/kujiunga.

 7. shadrack kayange
  January 1, 2017 at 3:03 pm

  Huo mpango wa FPCT 2014 -2024 naona kama hausomeki vizuri after zooming

Comments are closed.