Orodha ya Makanisa FPCT

FPCT ina makanisa ya mahali (Local Churches) 192, ina zaidi ya parishi 850 na matawi zaidi ya 4500 kote nchini. Haya yote yanaendelea kukua na baadaye kuwa makanisa ya mahali. FPCT ina idara nane zinazotoa huduma za kimwili, kiakili na kiroho kwa jamii ya watanzania.
Hata hivyo makadirio ni kati ya 400,000 na kuendelea. Kanisa limejiwekea mpango mkakati wa uendeshaji kazi wa miaka 10 kuanzia 2014-2024, ambao utasambazwa katika makanisa yote, idara na taasisi kwa utekelezaji.
MAONO (DIRA) YA FPCT (FPCT VISION STATEMENT)
Maono ya FPCT ni kuwa na kanisa linalojiongoza,linalojitegemea na linalojieneza, likifanya kazi kwa umoja unaowakilisha umoja katika Kristo.
TAMKO LA KIMISHENI (MISSION STATEMENT)
Kuhubiri, kueneza Injili ya Kristo kwa maneno na matendo, kuwafanya wote watakaoamini kuwa wanafunzi wa Yesu, hivyo kutimiza agizo kuu la Bwana wetu Yesu Kristo.

Kupata kurasa zingine, Bofya chini next page aligned left …

7 comments for “Orodha ya Makanisa FPCT

 1. jovin mulokozi
  September 23, 2016 at 6:48 pm

  kanisa zuri la kumsaidia mtu kuukulia wokovu FPCT, Mungu atuinue sana kiroho, kiuchumi na kijamii

 2. Kulwa Isaack Chungizi
  October 31, 2016 at 1:22 pm

  maombi yetu kwa MUNGU nikuwa haya yote yafanyike ktk moyo munyofu.na kwa uongozi wa Roho wake.

 3. Kulwa Isaack Chungizi
  October 31, 2016 at 1:30 pm

  Kwa maana ya nia ile iliyokuwa ndani ya Yesu Kristo na kwa utukufu wake,na bilashaka ndiomana tumefikia mafanikio haya na hata tunapo hitimisha mwaka.

 4. November 19, 2016 at 11:50 am

  TUWEKEENI NA NYIMBO ZA WOKOVU

  • fpct
   February 1, 2017 at 11:12 am

   Sawa. Linafanyiwa kazi, soon utaziona kwenye website.
   admin

 5. bahati nzila
  January 20, 2017 at 9:24 am

  nahitaji kupata katiba kwenye app ya fpct

  • fpct
   February 1, 2017 at 11:08 am

   Shalom.
   Katiba inafanyiwa kazi, ikiwa tayari utaiona kwenye website.
   Ahsante.
   Admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>