Tunatumika kwa roho ya ubora, uadilifu, huruma kwa jamii yetu, taifa letu, na ulimwengu wetu kwa kuwafikia watu waliopotea na waliovunjika mioyo, kwa sababu tunaamini kwamba kila mtu anahitaji tumaini ambalo Mungu wetu hutoa,
kwa hivyo hamu na shauku yetu Kubwa ni kuhakikisha tunawasaidia watu kupata tumaini katika maisha yao lakini pia kuwasaidia kukua katika mahusiano kati yao na Mungu wetu..”
Kutana na Viongozi wetu wa Kitaifa
Askofu Mkuu
Makamu Askofu Mkuu
Katibu Mkuu
Naibu Katibu Mkuu
Idara ya Elimu
Idara ya Afya
Idara ya wanawake
Idara ya Injili na Umisheni
Idara ya Habari na Mawasiliano
Idara ya Watoto na Vijana
Idara ya Sifa na Muziki
Idara ya Maandiko
Idara ya Theolojia
TAARIFA KWA UMMA
Juni 28, Katibu Mkuu wa FPCT Mch. George Mwita alikutana na uongozi wa bodi ya Idara ya Elimu ya FPCT na Chuo cha Habari Maalum ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Lengo hasa la ki ...
Picha ya pamoja Viongozi wa kitaifa wa FPCT na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Kanisa kwa mwaka 2020-2024
Halmashauri kuu inaumdwa na viongozi wa kitaifa na Maaskofu wa majimbo yote .
Mpa ...
Sasa unaweza kupata nakala ya Toleo la 4 kuputia ofisi ya Mchungaji popote pale ulipo.
Kwa mawasiliano zaidi umaweza kuwasiliana moja kwa moja na ofisi ya FPCT HQ Dar es Salaam.
...