Ushirikiano wa Injili na Umisheni
- Category: Evangelism and Missions
- Date: 10-09-2021
Leo September 4 Katibu Mkuu FPCT Mch George Mwita amefungua jengo jipya la kisasa litakalokuwa likihidumia akina mama wajawazito katika hospitali ya Mchukwi iliyopo mkoa wa Pwani inayomilikiwa na FPCT ...
Sasa unaweza kupata nakala ya Toleo la 4 kuputia ofisi ya Mchungaji popote pale ulipo.
Kwa mawasiliano zaidi umaweza kuwasiliana moja kwa moja na ofisi ya FPCT HQ Dar es Salaam.
...
Picha ya pamoja Viongozi wa kitaifa wa FPCT na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Kanisa kwa mwaka 2020-2024
Halmashauri kuu inaumdwa na viongozi wa kitaifa na Maaskofu wa majimbo yote .
Mpa ...
Juni 28, Katibu Mkuu wa FPCT Mch. George Mwita alikutana na uongozi wa bodi ya Idara ya Elimu ya FPCT na Chuo cha Habari Maalum ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Lengo hasa la ki ...