+255 22 285 0051
KATIBU MKUU FPCT KUFUNGUA JENGO LA WAZAZI HOSPITALI YA FPCT MCHUKWI

KATIBU MKUU FPCT KUFUNGUA JENGO LA WAZAZI HOSPITALI YA FPCT MCHUKWI

  • Category: Health
  • Date: 10-09-2021

Leo September 4 Katibu Mkuu FPCT Mch George Mwita amefungua jengo jipya la kisasa litakalokuwa likihidumia akina mama wajawazito katika hospitali ya Mchukwi iliyopo mkoa wa Pwani inayomilikiwa na FPCT. Jengo hilo la kisasa lenye vifaa vya kisasa litakuwa msaada mkubwa kwa akina mama pamoja na akina baba watakao wasindikiza wenzi wao kujifungua hospitalini hapo Sherehe hiyo ya ufunguzi imehusisha watu mbalimbali ikiwemo viongozi wa serikali, viongozi wa idara ya Afya FPCT, viongozi wa dini, wamishonari na wadau wengine wa afya.

Share This

Comments