Viongozi wa Kitaifa FPCT na wajumbe halmashauri kuu 2020-2024
- Category: Evangelism and Missions
- Date: 11-09-2021
Picha ya pamoja Viongozi wa kitaifa wa FPCT na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Kanisa kwa mwaka 2020-2024
Halmashauri kuu inaumdwa na viongozi wa kitaifa na Maaskofu wa majimbo yote .
Mpaka sasa kanisa lina majimbo 25 katika mikoa ya Tanzania bara na visiwani.