KATIBU MKUU FPCT KUFUNGUA JENGO LA WAZAZI HOSPITALI YA FPCT MCHUKWI
- Category: Health
- Date: 10-09-2021
Leo September 4 Katibu Mkuu FPCT Mch George Mwita amefungua jengo jipya la kisasa litakalokuwa likihidumia akina mama wajawazito katika hospitali ya Mchukwi iliyopo mkoa wa Pwani inayomilikiwa na FPCT ...