Ushirikiano wa Injili na Umisheni
- Category: Evangelism and Missions
- Date: 10-09-2021
Viongozi wa huduma ya Cfan Ndugu Bret Sipek,
Randy Roberts na Bishop E Gewe wanaandaa mikutano ya Injili Dunia, mapema leo wametembelea ofisi za FPCT Makao makuu Dar es salaam kufanya mazungumzo na uongozi wa FPCT Taifa kuhusu namna ya kushirikiana katika masuala ya Injili na Umisheni.